DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, March 23, 2014

D Banj atambulisha bidhaa yake mpya

photo 1 

Jana kupitia akaunti yake ya Instagram msanii D Banj alitambulisha bidhaa zake mpya zitazoingia sokoni hivi karibuni. Katika ujumbe alioumbatanisha na picha hapo juu D Banj alisema “ Finally here after 5 yrs.I can proudly say #KokoGarri is the firSt product of Koko Holdings, thanks to God, @oneinafrica, #DoAgric It Pays and #Nagropreneurs. Join me youths, we can do this ”
D Banj aliitambulisha bidhaa yake hiyo katika uzinduzi wa kampeini ya One Do Agric iliyofanyika siku ya jana katika Hotel ya Transcorp Hilton iliyopo mjini Abuja, Nigeria


ce986334b06111e39695122dd1eebf29_8 


No comments: