U chache tangu M-Rap kuondolewa katika label ya B Hits jambo lililozua maswali mengi sana hasa kwa mashabiki.
Mabeste msanii aliyekua chini ya label hiyo hiyo ya B Hits kwa mara ya
kwanza ameamua kuongelea juu ya suala la M Rap na B Hits. Kupitia
ukurasa wake wa Facebook Mabeste aliandika hivi..”
Itakumbukwa kua Mabeste nae aliondoka B Hits jambo lililofanya
uongozi wa Label hiyo kumzuia kutumia nyimbo zote zilizorekodiwa chini
yao, pia jambo hilo hilo limetokea tena kwa M-Rap kuzuiwa kutumia nyimbo
yoyote aliyorekodi akiwa chini ya B Hits
No comments:
Post a Comment