Kundi maarufu la Muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo linatarajiwa
kudondosha burudani ya aina yake itakayoacha gumzo Jijini Dar es Salaam,
katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 5 mwezi Aprili mwaka huu.
Mafikizolo
ambayo inaundwa na wakali Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza tayari
wamejipanga vilivyo kwa ajili ya kulishambulia jukwaa katika onyesho
ambalo linakuwa ni la kwanza kabisa kulifanya haba Bongo katika historia
ya kundi hili.
Tiketi za onyesho hili linalosubiriwa kwa hamu, zinapatikana kwa shilingi 20,000 tu katika maeneo na mlangoni siku ya tukio, tiketi hizi zitapatikana kwa shilingi 35,000.
Tiketi za onyesho hili linalosubiriwa kwa hamu, zinapatikana kwa shilingi 20,000 tu katika maeneo na mlangoni siku ya tukio, tiketi hizi zitapatikana kwa shilingi 35,000.
No comments:
Post a Comment