Jumamosi iliyopita (March 22) pacha wa kundi la muziki P-Square, Paul
Okoye na mpenzi wake wa muda mrefu Anita walifanya harusi ya kimila huko
Port Harcourt iliyohudhuriwa na mastar wengi wa Nigeria.
Tazama kipande kidogo cha video ya harusi hiyo ambayo pia ilirushwa live na kituo cha Hip Tv cha Naija.
Tazama kipande kidogo cha video ya harusi hiyo ambayo pia ilirushwa live na kituo cha Hip Tv cha Naija.
No comments:
Post a Comment