DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, March 27, 2014

WANAFANANA ILA SI AGNESS MASOGANGE

WANAFANANA ILA SI AGNESS MASOGANGE 

 Kupitia mitandao mingi wameweka picha inayomuonesha Agnes Masogange akiwaachia mgongo ila ukweli si Agness bali ni picha ya msichana mwingine mwenye mgongo kama video queen huyo.

Video queen huyo wa Msambinungwa, amepost picha hiyo inayomuonesha mdada mwenye mgongo anayefanana naye pia ni mrefu kuliko Agness.


No comments: