DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, April 4, 2014

KINGWENDU AMEANZA TABIA MBAYA

 
 
Ni Mchekeshaji maarufu kwa jila la Kingwendu pia ni mwana muziki aliyejijengea heshima kwa mashabi wake kwa single ya ‘Mapepe’ hivikaribuni aliibuka na skendo ya kutoroka na pesa za watu.

Baada ya maisha kumpiga chini Kingwendu amebainika kuwa ombaomba wa kwenye simu,Mwandishi aliyezinyaka hizo alitafutwa mara moja ili kuhakiki suala hilo.Hatima yake mtego ukanasa kwa kuvutiwa wire kingwendu moja kwa moja,nilivyompigia simu kitu cha kwanza kusema “kaka naomba elf 20 na mimi nile raha Duniani maisha si mazuri hata kidogo,gari yangu haina mafuta nipo nipo tu ndugu yangu” haya ndio maisha ya msanii Kingwendu.

No comments: