The king of RnB hapa Tanzania and the winner of best vocal kili awarads
2013 “Ben Pol” ameitambulisha nyimbo yake inayotarajiwa kutoka siku za
karibuni chini ya producer Defxtro.
Jina la wimbo ni “twaendana” na imefanyika pande za Arusha ndani ya
studio za noizmekah. Unaweza sikiliza kionjo cha twapendana hapo chini.
No comments:
Post a Comment