Siku ambayo mimi binafsi na wewe tumekuwa tunaisubiria sasa naona Nuru
inaniangazia. 29.08.2013,Kuanzia saa 1 jioni hadi saa 3 usiku ndani ya
SERENA HOTEL ntakuwa nikiachia Live video yangu mpya
itakayotambulika kama #MYNUMBERONE….
Kumbuka Party hii ya Launching Premier ya My Number One aina Kiingilio ni Special kwa waalikwa tu
No comments:
Post a Comment