DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!
Wednesday, August 21, 2013
DANNY MSIMAMO IS WORKING ON NEW TRACK FEATURING RAMA DEE
Mr. Daniel Abdallah Kamili a.k.a Danny Msimamo is back again soon with new song featuring Rama D ee under the production of Home Town record.
“Nimeshafanya ngoma kadhaa za ki-Hip Hop kwenye studio tofauti tofauti za hapa Dar ila kwa sasa nimeanza kwa kuachia wimbo niliomshirikisha Rama Dee na Suma G uitwao “Tuhamie mwezini” ambao nimeufanyia Home Town record chini ya produza Nahreal” Danny told BK cop.
Danny pia alifunguka juu ya singo nyingine aliyofanya na Lady Jay Dee iitwayo “Anaconda” akidai ni mapema kidogo kuizungumzia singo hii but itaachiwa baada ya joint with Rama Dee ku-bang kitaa.
Akizungumzia ujio wake mpya alisema, “Ninarudi na sitakuja kunyamaza milele na milele kwa kuwa mimi ni msanii wa album na hii ni albam ya tatu namalizia kuiandaa hivyo hata kama sitakuwepo, sauti yangu itaendelea kuwepo milele na milele ikisambazwa na albam hizo popote duniana.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment