DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!
Wednesday, August 21, 2013
DOGO ASLAY ANGIA STUDIO NA MSANII JAGUAR WA KENYA
Dogo Aslay ameingia studio na msanii mkali kutoka Kenya “Jaguar” ili kuweza kutoa collabo. Manager wa Dogo Aslay “Said Fela” amesema kwamba wasanii hao wawili wako mbioni kutoa nyimbo pamoja.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment