Baada ya kufanya collabo na wasanii kibao wa Hip hop hapa Tzee kama vile
Dole ya Mabeste, Press play ya Dj Choka, Pamoja we can na Latino Nation
na nyingine kibao.
Deddy ni miongoni mwa wasanii waliopo katika label ya B-Hitz chini ya
producer Hammy B, kwa sasa msanii huyo amefanya track kibao.
Style anayotumia Deddy ni ya Dance hall pamoja na Reggae, soon as
possible anategemea kuachia ngoma yake ya kwanza (jina kapuni) hivyo
fans kaa mkao wa kuipokea kazi za Deddy.
No comments:
Post a Comment