Baada ya kupotea kwenye muziki kwa muda mrefu sana Crazy Gk amerudi kwa
kishindo na kuzindua wimbo wake mpya huku akisindikizwa na timu ya East
Coast Team.
Sababu kubwa iliyopelekea King Crazy Gk kupotea kwenye game kwa muda
mrefu ni kwamba msanii huyu alikuwa kwenye masomo akitafuta degree.
No comments:
Post a Comment