DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Tuesday, September 3, 2013

ANGALIA JINSI SNURA ALIVYOTOA BURUDANI KALI KWA WAKAZI WA MTWARA

Siku chache zilizopita msanii Snura amabaye anatamba sana na wimbo wake wa majanga alitoa burudani kali kwa wakazi wa mtwara katika tamasha la serengeti fiesta 2013. Kwenye video hapo Snura aliimba wimbo wake mpya unaitwa “nimevurugwa”.

No comments: