Baada ya kunusurika kifo cha ajali katika moja ya gari lake aina ya Rav4 majuma machache yaliyopita sasa anaendelea vizuri.
Msanii wa Bongo flava na muigizaji wa muvi Hemed PHD alipata ajali
hiyo baada ya kumsindikiza msanii mwenzake Gelly wa Rumes nyumbani
kwake.
Hemed PHD alifunguka kwa kumshukuru Mungu wake baada ya kumponya kifo cha ajali kilichotokea majuma machache yaliyopita.
“Namshukuru Mungu naendelea vizuri baada ya kupata ajali mbaya siku chache zilizopita, nawashukuru mafans wangu kwa dua zao”.
No comments:
Post a Comment