DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, September 30, 2013

BWANA MISOSI: “NARUDI KUWAINUA FANS WANGU”



 



























Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kidogo, hatimaye Joseph Rushahu a.k.a Bwana misosi amefunguka kuwa muda si mrefu atarudi tena kwenye gemu kuwainua fans wake kwa ngoma kali baada ya kuandaa stock ya kutosha.

“Nilikuwa chimbo kidogo maeneo ya Kahama nikifanya mambo mengine ya kimaisha, lakini kwa muda wote huo tayari nimeandaa track kama 20 so fans wangu wakae tayari kunipokea tena.” – Bwana Misosi.

No comments: