DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, September 30, 2013

KINGWENDU KUACHIA ALBAM MPYA SOON


 


Msanii wa Comedy muvi za kibongo na artist wa bongo fleva Kingwendu, yupo kwenye maandalizi ya mwisho mwisho ya uandaaji wa albamu yake mpya itakayokwenda kwa jina la ‘Kabligado’. Kingwendu amefunguka juu ya ujio wa albamu yake hiyo mbele ya BK Cop.

“Nimekuwa kimya kwa muda mrefu sana upande wa mziki coz nilikuwa naandaa albamu kali ambayo alhamdulillah ipo mwishoni kukamilika, kikubwa watu wasubiri tu kuvunja mbavu, kuburudika na kuvunja mbavu kwa ngoma kali kama kawaida yangu heluheluuuuuuu…”
Miaka kadhaa nyuma Kingwendu aliteka soko la Bongo fleva kwa ngoma kali za ki-comedy kama vile Mapepe n.k hadi kufikia hatua ya kufanya show nje ya Tzee (visiwa vya Komoro). Welcome back mzee wa comedy kali.

No comments: