| Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar |
| Nikiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa wamepiga kambi uwanjani kunisubili |
| Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa nimewasili,hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri kwa hamu kumwona the president |
| Nikizungumza na watu wangu wa zanzibar ndanui ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio |
| Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach Resort |
| Wanahabari kazini |
Unataka kujua Diamond na True boy walifanya nini Zanzibar?stay visiting ....
No comments:
Post a Comment