(PHOTOS) PEWA ABAGENGE AKIWA KWENYE UTAYARISHAJI WA VIDEO YA POMBE YANGU IMEMWAGIKA
Hivi karibuni msanii mkali kutoka Kenya Pewa Abagenge aliachia single
yake mpya inayokwenda kwa jina la “pombe yangu imemwagika”.
Sasa msanii huyo amepeleka wimbo to the next step na kuamua kuufanyia
video. Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa akiwa kwenye utayarishaji wa
video hiyo.
No comments:
Post a Comment