
Msanii toka Nigeria J
martins usiku wa jana alimzawadia Msanii Ommy Dimpoz Cheni yenye thamani
ya usd 10,000 kama Zawadi kwa ajili ya sikukuu ya kuzaliwa ya Ommy
Dimpoz ilipokuwa ikifanyika uzinduzi wa Video ya bila kukunja Goti! Star
huyo toka nigeria aliyekuwa aki host party hiyo.
Check picha jinsi ilivyokuwa
Check picha jinsi ilivyokuwa
Msikilize Ommy Dimpoz akiongelea kuhusu zawaidi aliyopewa na msanii J.Martin
No comments:
Post a Comment