Muda umefika! Popote ulipo, tutumie picha
jinsi ambavyo umetupia/utatupia leo kwa ajili ya mlipuko wa burudani leo
ndani ya jiji la Dar-es-salaam! Fanya hivyo na ututag au tumia hashtag
ya #KiliMusicTour2013Dar Its happen now
Twende SAWA SASA, tuambie ni msanii gani unayemsubiria kwa hamu kwenye stage??
Twende SAWA SASA, tuambie ni msanii gani unayemsubiria kwa hamu kwenye stage??

No comments:
Post a Comment