AY MOE msanii mkongwe
hapa nchini ametoka kutengeneza jiwe jipya na msanii kutoka Los Angeles
Califonia USA anaefahamika kwa jina la MATRE katika studio ya BONGO
RECORDS chini ya mikono ya P FUNK Majani. Msanii huyo MATRE kutoka Los
Angeles Califonia alikuja barani AFRICA kwa tour iliokua inaendelea
nchini KENYA jijini Nairobi baada ya tour hiyo kumalizika ndipo
akabahatika kufika nchini TANZANIA na kufanya kazi na msanii mkubwa wa
hapa nchini JAY MOE ambae mika mingi sana anafanya kazi zake katika
studio za Bongo Records TANZANIA. Huku ngoma ikiwa jikoni jitihada za
kufanyia ngoma hiyo video zikaanza hapohapo kama unavyoona apo chini na
ngoma hiyo ijulikanayo kama DAR TO L.A. Fans wa Jay Mo mbakiaji na
Bongo Records kaeni mkao wa kula kwa kazi mpya toka kwa JAY MOE NA
MATRE.

No comments:
Post a Comment