DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, September 19, 2013

Nini kinakuja kutoka kwa Cpwaa?

20130920-002538.jpg 

Leo majira ya jioni MxCarter alipost picha kwenye instagram yake akionekana akimpiga picha msanii anayewakilisha poa kwenye upande wa Bongo Crunk! “A Pwaarific photo shoot with @cpwaa by #slidevisuals #Brainstormusic #1stOctober #loading #Pwaarific #TheWaitIsOver
Nini kinakuja kutoka kwa cpwaa October MOJA?
Check picha chini uone uchukuaji picha ulivyokuwa na kampuni ya Slide Visuals

No comments: