Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection “Madee” ametoa shukrani zake kwa Mungu kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba yake iliyopo Mbezi ya Kimara,jijini Dar -Es-Salaam.
Msanii huyo alisema maneno haya na kupost hii picha na kusema maneno haya kupitia matandao wa twitter...
Inshallah namshukuru Mungu Mjengo wangu umeishaaa pic.twitter.com/kpbzmL67X5

No comments:
Post a Comment