DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, September 11, 2013

VIDEO YA AY, MWANA FA & J MARTINS “BILA KUKUNJA GOTI” KUZINDULIWA IJUMAA

Ile video iliyowakutanisha wasanii watatu wakali AY, Mwana FA na J Martins “bila kukunja goti” itazinduliwa siku ya ijumaa.


Uzinduzi huo utaambatana na bonge la party ndani ya club ya Elements. Party itaanza saa kumi na mbili jioni mpaka usiku mnene.

No comments: