DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, September 22, 2013

Paul Okoye(P-Square) naye achumbia

]

Baada ya Peter Okoye kutoka P Square kutengeneza headlines mbalimbali kwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake kwa namna ya kipekee mwezi uliopita, hatimaye ndugu yake naye, Paul Okoye ameamua kuchukua hatua kama hii kwa kumvalisha pete ya uchumba mama mtoto wake, mrembo Anita Atokwu-Isama.

Paul ameripotia kufanya tukio kama hili mbele ya wanafamilia na marafiki zake katika namna ya kawaida tofauti na ndugu yake ambaye alimvalisha  pete ya uchumba mpenzi wake na kumzawadia gari la kifahari.

Kwa sasa macho ya wengi yanasubiria kuona aina za harusia ambazo wasanii hawa wawili watazifanya, na hii ni hasa kutokana na sifa kubwa ambayo wamejijengea ya kujua jinsi ya kuzitumia vilivyo pesa zao.

No comments: