Ommy Dimpoz akiwajibika stagen licha ya mvua kunyesha lakini watu hawakukosa kujaaaa...yaani ilikuwa mtu nyomi
Wapenzi wa Dimpoz wakipagawa na tupogo nyimbo mpya ya Dimpoz
Shabiki wa Dimpoz akiwa ameshajikabizisha kwenye stage akishow love kwa Dimpoz
No comments:
Post a Comment