DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, September 13, 2013

RICH MAVOKO REVEALS HIS UPCOMING SONG “ROHO YANGU”


Rich Mavoko ametangaza jina la wimbo wake mpya “Roho Yangu” ambayo ataitoa rasmi siku ya tarehe 20/09/2013

Mavoko ambaye siku chache zilizopita alikuwa ni miongoni mwa wasanii waliopiga show Bills kwenye uzinduzi wa video ya Jux “uzuri wako”.

--------

No comments: