Msanii mkali anayefanya mziki wa hip hop hapa Tz, Roma Mkatoliki
anakaribia kuachia video ya wimbo wake mpya wa 2030 ambao ulitoka mapema
mwaka huu.
Video inatengenezwa na Nisher Entertainment na itakuwa available mwezi wa kumi mwaka huu kwenye www.youtube.com/nisherrr
No comments:
Post a Comment