Soggy Doggy alalamikia kutumika kwa wimbo wake kwenye movie "Sometimes in April"bila ya kupata chochote
Msikilize Soggy Doggy akielezea kutumiwa kwa wimbo wake kwenye Movie moja iitwao SOMETIMES IN APRIL ambayo imeongozwa na Muigizaji maarufu toka Hollywood IDRIS ELBA ambae ni raia wa Uingereza.
Angalia sehemu ya movie hiyo " Sometimes in April
"
No comments:
Post a Comment