Usiku wa kuamkia tarehe 16/09/2013 ndani ya Club Billicanas kulifanyika show ya nguvu iliyopewa jina la TUPOGO NITE, iliyoongozwa na Ommy Dimpoz ambaye alipewa sapoti ya kutosha toka kwa Mwana FA na AY, Alawi junior, Christian Bella na mzee mzima J Martins.
No comments:
Post a Comment