DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Wednesday, September 25, 2013

Video Ya BILA KUKUNJA GOTI Yafanikiwa Kuingia Katika TV Stations Za Burudani Za Kimataifa …

AY1 

Video ya Bila Kukunja Goti, imefanikiwa kufikia kiwango  cha kuonyeshwa katika TV station za kimataifa za Burudani, Tv station zitakazoanza kuonyesha video hiyo  kali ya MwanaFA, AY wakishirikiana na Msanii kutoka Nigeria Jay Martins, ni TRACE, MTV Base, Channel O na Sound City …
Video hiyo itaanza kuonekana hivi karibuni Afrika Nzima na Dunia kiujumla.

No comments: