Rapper Prezzo kutoka
Kenya amekataa madai ya kuhusika katika ugomvi wa kumpiga Afisa wa swiss
ndani ya night club moja weekend iliyopita, haya ndio mananeno aliyotoa
rapper huyo, alivyohojiwa na Pulse … “I don’t fight. I was not in any
club fight. I know nothing about club gunshots. That is news to me.”
Rapper huyo inasemakana alikua katika Party ya Skyluxx White Party,
wakati ugomvi huo ulipotokea.
No comments:
Post a Comment