DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Monday, September 30, 2013

VIVA CONSCIOUS NDANI YA MIXTAPE DENMARK











 






















Jina la Passport Joseph Stephen , Ni Rapper /MC Kutoka Tanzania ,mmoja ya Wasanii wanafanya vizuri nje ya Tanzania. Akiwa Chini ya Label ya De Fatality Music na GoodNation Efx .Pia Ni mmoja kati ya Mc Wanaounda Familia ya Wana Hip Hop Africa (Rap Diocese) inayoundwa na Rappers Kama Lyrical Proof (Uganda),Burney Mc (Uganda) ,Enygma (Uganda), Scientific (Ghana),Willy Fololo (Kenya) L.T Yang
(Gabon) n.k

2013 Mwaka wa Mafanikio kwake baada ya Kutangazwa kuingia katika mixtape ya kihistoria katika Muziki wa hip Hop inayojulikana kama HIP HOP KEMP 2013 Vol 6. Jijini Copenhagen,Denmark ambayo ilitangazwa August Mwaka huu. Wimbo wake wa EAST AFRICA METAPHOR ft Burney Mc (Uganda)& Willy Fololo uliopikwa na Mesen Selekta pamoja na Masebo EFX imetangazwa Kuingizwa kwenye mixtape hiyo.
Mbali na Mafanikio haya Kumekuwa na Sapoti ndogo kwa Media za Nyumbani kwa wasanii tunaoiwakilisha vyema Tanzania Nje ya Tanzania ukilinganisha na Media za Nje ya nchi zinazopenda haswa Swahili Rap Metaphors . mfano Radio Kadhaa za Kenya ,Uganda, Australia, Switzerland Botswana , Ghana na Denmark .
Pia Changamoto kubwa inayonikabili ni usambazi wa Nyimbo zangu na usimamizi wake ..Kimataifa . Kwa Mpaka sasa hatua niliofikia Usambazaji wa Asilimia 80 Ni kwa kutumia Mtandao na 20% ni usambazi Wa kawaida wa kupeleka na Kuintroduce mwenyewe katika nchi husika.
Japokuwa Ni Changamoto zimejitokeza sikuwa mbali kufanya kazi nyingi na wasanii wa Nje ambao ni kama Scientific toka

No comments: