Damian Soul anatarajia kuachia ngoma yake mpya “ni penzi” akishirikiana na Joh Makini ambaye anatokea kwenye kundi la weusi.
Hii ndio picha ambayo Damian ametumia kutambulisha ujio wa ngoma yake hiyo mpya ambayo Joh Makini naye amepata nafasi ya kuingiza mashairi yake
No comments:
Post a Comment