Siku chache baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kutumia sare za polisi bila idhini yoyote na kuzitumia kwenye shooting ya video ya Salamu Zao hadi kupelekea kufikishwa mahakamani siku chache zilizopita, Nay Wa Mitego amepanga kuachia video hiyo week ijayo.
Akiongea na mwandishi wa Baabkubwa, Nay Wa Mitego alisema “video ya salamu zao itaachiwa week ijayo jumatatu, hivyo mashabiki wangu kaeni tayari kwa kushuhudia salamu zao kwenye screen”
No comments:
Post a Comment