DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, October 25, 2013

DIAMOND- SEHEMU FLANI TANZANIA WITH MA BOY DAVIDO

 
 Kwa sasa Nikizungumzia wanamziki wenye
 kiwango cha hali ya juu ndani ya bara letu la Africa,siwezi acha kumweka kwenye top
 ya juu kabisa mtu mzima Davido
uwezo wake unatambulika kila pembe ya ulimwengu wa Music..
na siku ya kesho yeye ni mmoja ya wasanii toka nje watakao


Photo: Champagne life meeeeen...room party...u wanna join us huuuh....??? Cc @lifeofdavido @romyjons @wcb_wasafi 
 sababisha kwenye stage kubwa kabisa ya Fiesta
na toto la kimanyema pamoja na wasanii wenzangu
 wote wa nyumbani,tutazihilisha kuwa
Tanzania kuna wanamziki wa kweli......!!!!jichange sana..usipange  kukosa

No comments: