DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, October 25, 2013

Ommy Dimpoz awasuprise watoto wa shule walioimba Tupogo

Ommy Dimpoz ameendelea kujithibitishia mwenyewe jinsi wimbo wake Tupogo unavyopendwa si tu na vijana na watu wazima, bali hata watoto wadogo wa shule za msingi

No comments: