DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, October 3, 2013

MUONEKANO WA BABY MADAHA NA MKOKO MPYA WA THAMANI (AUDI TT)

 

























Mara baada ya kuingia mkataba na Candy n’ Candy ya Kenya ambayo inamsimamia maswala yake ya muziki kwa sasa, Baby Madaha amekabidhiwa gari ya thamani aina ya AUDI TT pande za Kenya mbali na kitita kisichopungua milioni hamsini pamoja na nyumba kali ya kuishi pande hizo.

Akiwa chini ya Candy n’ Candy tayari ameshaachia kopo moja matata inayokwenda kwa jina la ‘Summer Holiday’ ambayo pia kichupa chake kimekaa kimapinduzi zaidi ndani na nje ya gemu la Bongo Fleva.

 madaha4

 madaha


madaha1 

 madaha3


No comments: