Yule mwanadada mwenye uwezo mkubwa wa kutumia kiuno chake vyema
kuwapagawisha mashabiki wake awapo jukwaani Snura Mushi(Mamaa wa
Majanga), ameingia location ku-shoot kichupa cha ngoma yake inayokwenda
kwa jina la ‘Nimevurugwa’. Tofauti na video ya ‘Majanga’ ambayo imetumia
nchi mbili kama locations za kichupa cha ngoma hiyo, ‘Nimevurugwa’
itatumia nchi moja tu ambayo ni Tanzania ndani ya jiji la Dar es salaam.
“Tupo location leo pande za Kigamboni kwenye Beach flani hivi tuna-shoot kichupa cha Nimevurugwa ya Snura. Napenda jina la Beach tuliyopo libaki kwenye mabano ili fans wetu wapate muda wa kupatambua wao wenyewe. In short itakuwa kali sana watu waisubiri si muda mrefu video itakuwa hewani.” – HK ambaye ni meneja wa Snura alifunguka juu ya harakati za kichupa hicho.

No comments:
Post a Comment