Kama ujapata nafasi ya kuliona jukwaa la fiesta 2013 basi baabkubwa
inakupa nafasi ya kuliona jukwaa hilo likiwa bado kwenye matengenezo.
Fiesta 2013 itafanyika siku ya jumamosi huku wasanii wakali kutoka hapa
Tz na nje ya Tz wakipambana vikali kutoa burudani kwa mashabiki
watakaofika

No comments:
Post a Comment