Ninaheshimu sana media,naamini media ni moja ya mhimili mkubwa sana wa music,mwanamziki na sanaa kwa ujumla
ndio mana mda wowote nihitajikapo huwa sijiulizi mala mbili mbili..na siku ya leo nilipata clouds media na kufanya mahojiano kidogo na wanangu wa XXL,B-twangala,Baba wa jonii na Mtoto mzuri kabisa,Fetty

Studio with my boy B-twangala nikifunguka machache
kuhusu projects zangu lakini kubwa ni kuhusu tamasha kubwa la Fiesta
linalofanyika Kesho jumamosi.....
nikukumbushe tu....Fiesta ya mwaka huu ni moja
ya msimu mkali zaid kuwahi kutokea..am telling you
nikitazama list ya watakaodondoka pale..then mmanyema nilivyojiweka sawa kwa siku hiyo ya kesho....!!!!
HUTAKIWI KUKOSA
WCB for life

No comments:
Post a Comment