MY NUMBER ONE REMIX INAKUJA KWA KASI, DIAMOND YUPO PANDE ZA NIGERIA
Baada Diamond Platinumz kupata chance ya kupiga show na msanii Davido
kutoka Nigeria, sasa Diamond amehakikisha kwamba remix ya my number one
haiwi ndoto. Diamond ameamua kumfwata Davido pande za Nigeria ili kwenda
kufanya ngoma hiyo
No comments:
Post a Comment