DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, October 25, 2013

NILIPOVAMIWA NA WANAFUNZI NDANI YA MLIMANI CITY - DIAMOND

 
Wakati mwingine natamani hata moyo
 wangu ungefunguka japo kwa dakika tu!, mkatazama ni kias gani na appreciate, nafurahi na kushkukuru kwa upendo wenu kwangu...siku zote husema,
 usipoweza kushkuru kwa kidogo hata ukipewa kikubwa huwezi kushkuru... na ndiomaana kila mnipacho sichoki
 kuwashukuru.. napenda niwashukuru saana wanafunzi na wadogo zangu walioonyesha mapenzi ya hali ya juu,nikiwa ndani ya Mliman city Asanteni sana!

 
 Kumbu kumbu ni mhimu!!na Halikuwa tatizo
 kwao kutaka niandike sahihi yangu kwenye sare zao za shure

 
 


 

 these kids got love aisee,pamoja na kuwa
 mda ulukuwa ushaenda san ,lakini  bado hawakutaka kuwa mbali na president


 


 
 Zoezi la kutia sign likaendelea tena kwa wale waliokosa awali

No comments: