DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, October 31, 2013

NUMBER 1 REMIX:SAA 8 USIKU STUDIO WITH TUDD THOMAS,SHEDDY CLEVER NA KING MARU - DIAMOND

 
Ni saa 8 za usiku baada ya kutoka kwa Chali
 kufanya project ya Cocacola
ilinibidi niende kwa producer Tudd thomas
 akishirikiana na Sheddy mwenye Clever zake..
kubwa likiwa ni kuingiza vocal zangu ndani ya
 remix ya number one 

niliyofanya na mnyama wa Naija,Davido ambaye
 yeye alifanya yake.
na ili kuweka njonjo za hapa na
 pale kuhakikisha wimbo
 unakuwa na hadhi inayokidhi mahitaj ya fanswangu
ilibidi nimwite na mzee wangu King Maru,mkari wa kupuliza
 saxaphone ili nae atie mambo yake 
kumbuka mzee Maru alipiga saxaphon yake kwenye number one ya kwanza...
 
 
 
 Nikitoka studio kwa Chali
 
 
 
 Hakuna project inaniumiza kichwa kama hii,nikiwaza
 niweke nini,nipunguze nini.........!!!
 
 
Tudd kwa nini hii line,isipande kwa hapa mwanzo..??

Mzee Maru akifanya vitu vyake


Kama pumzi hazikuenei..hii kitu huiwezi......!!!



Tudd

Sheddy mwenye clever zake

Ushirikiano ndio nguzo ya chochote kizuri..!!!



No comments: