DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, October 31, 2013

[Photos] Baby Madaha Azindua Mifuko Yake Ya Kubebea Zawadi …

Baada ya kupata mkataba mnono na kupewa gari aina ya Audi pamoja na Apartment kali ya kuishi jijini Nairobi, Kenya kutoka kwa kampuni ya entertainment Candy and Candy, msanii mahiri wa muziki kutoka Tanzania, Baby Madaha amepata tena zawadi nyingine kutoka kwa CEO wa kampuni ya Candy and Candy, zawadi hiyo ni utengezaji wa mifuko kwa ajili ya kubebea zawadi ambayo itakua na picha zake (Baby Madaha)
Msanii huyo alifanyiwa party kwa ajili ya uzinduzi wa bidhaa hiyo ya mifuko ya kubebea zawadi.
Tazama picha za uzinduzi wa bidhaa hiyo ya mifuko kwa ajili ya kubebea zawadi hapa …

b4 

b7


b6

No comments: