Dakika chache
zilizopita, producer mkali wa music video hapa bongo (Tanzania), Nisher
(Nisher Entertaiment) ameachia picha inayomuonesha rapper ROMA MKATOLIKI
huku ikiwa na maandishi #2030 …
ROMA aliachia wimbo unaoitwa 2030 akimshirikisha Story … hatukuwahi kuona video … i guess video yake ndio hii inakuja …
Check picha yenyewe hapa …
No comments:
Post a Comment