DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Sunday, October 27, 2013

Ney Wa Mitego Akamatwa Na Polisi …

ney 
Ney Wa Mitego afikishwa katika kituo cha Polisi leo … Inasemekana sababu ya yeye kuswekwa lupango ni kutokana na mavazi yaliyotumika katika utengenezaji wa video ya wimbo wake ujulikanao kama “Salam Zao”…
Ney Wa Mitego amejikuta  matatani kutokana na kutumika kwa Gwanda hizo ambazo polisi wamedai kuwa msanii huyo inabidi aonyeshe kibali na aelezee amekipata wapi, mpaka akachukua hatua ya kutumia gwanda za polisi kwa ajili ya kuchukulia video ya wimbo huo….

No comments: