
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinumz”akimkabidhi Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000.Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe.
Mshindi wa dansi ya
Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia Ipad kwa kutuma video katika
ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,akionesha Ipad yake
kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)aliejishindia na kukabidhiwa
rasmi na Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond
Platinum”(kulia)wakati wa droo ya tatu ya shindano la miito ya
simu,ambapo washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000.katikati ni
Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe.
Msanii mahiri wa muziki
wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinum”(kushoto)pamoja na Meneja
wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe,(kulia)wakionyeshwa
kurasa mbalimbali za Ipad na mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu
Kiobya,aliejishindia mara baada ya kutuma video yake katika ukurasa wa
kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,na kukabidhiwa rasmi na msanii
huyo baada ya kumalizika kwa droo ya tatu ya shindano la miito ya
simu.Jumla ya washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000.
No comments:
Post a Comment