DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Friday, October 4, 2013

SHAA KUACHIA WIMBO WAKE MPYA WIKI IJAYO


Msanii wa Bongo flava anayefanya vizuri katika game la muziki hapa Tzee kwa nyimbo zake na kujua kulitumia vyema jukwaa.

Baada ya ku-make hit la nguvu na track yake ya ‘Lava Lava’ kwa sasa anategemea kuachia ngoma mpya kwa jina kapuuni, wimbo wake mpya amerekodia studio za AM Record chini ya producer Maneke.

No comments: