DJ BOSTON-ON BEAT U KNOW WAT IT IS!!!

Thursday, October 31, 2013

Shaa - Sugua Gaga (Official Video)

Mwanadada shaa ame-drop sanaa yake nyingine tena … na inakwenda kwenye audio na pia video … uliona teaser video ambayo ilikupa picha kidogo ya yatakayokuwemo humo ndani … Chini ya MKUBWA NA WANAWE ya Said Fella

No comments: